dpw

The DPW Worlds Championship is a professional wrestling world heavyweight championship owned and promoted by Deadlock Pro-Wrestling (DPW). The current champion is Lucky Ali, who is in his first reign.

View More On Wikipedia.org
  1. Kosa kubwa la mkataba wa DP World na Tanzania ni hili hapa tu, na ndilo linaloweza kuuvunja mkataba

    Ukweli ni kwamba ,Mkataba ni mzuri japo unayo mapungufu yake mengi tu hii haipingiki. Nimegundua shida zote hizi zinatokana na Ujanja unjanja wa serikali lakini sio mkataba wenyewe. Mkataba upo very technical hivyo sio rahisi kila mwanasheria au mwananchi kuuelewa kwa urahisi, Inahitaji umakini...
  2. CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  3. Q

    Tamaa za Kiuchumi na umuhimu wa Pwani ya Afrika Mashariki zinataka kumrudisha Sultani wa Oman kupitia DPW.

    Kabla ya Mapinduzi matukufu ya mwaka 1964, Zanzibar pamoja na korido lote (km 10) la mwambao wa Pwani ya Afrika Mashariki vikijumuisha visiwa vya Lamu na Mafia vilitawaliwa na Ukoo wa Sultan Sayyid wa Oman. Sultan aliitawala Zanzibar na mwambao wote kuanzia Tanga hadi Lindi, korido lote toka...
  4. H

    DPW na "mandogaism investment in Tanzania" yaani CCM, Bunge na Serikali na kama DPW na DPW ni kama CCM, Bunge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

    Utangulizi: slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
  5. Nia ya mheshimiwa Rais ni njema, turekebishe mapungufu yaliyoonekana ili DPW aanze kazi haraka hapo bandarini.

    Nchi hii ina mambo jamani, yaani kuna vita zinaendelea chini chini huko ndani ya chama Mungu amsaidie mama yetu SSH. Nia ya uwekezaji pale bandarini ni njema kabisa, dhamira safi kabisa. Ni uwekezaji unaokwenda kukata mirija wa watoto wa mjini ambao wamekuwa wakinyonya pale kwa raha zao. Sasa...
  6. Mwisho wa siku tutawauliza CCM mlikuwa mnatetea mkataba wa bandari wa dpw kwa maslahi ya nani na kwa maslahi yapi ya ziada?

    Daaaaaaaaaah Kuna maslahi gani ya ziada kati ya CCM yetu na mkataba wa DPW ?? Budget ya hii mikutano kuhusu kinachoitwa ELIMU ya mkataba wa DPW imetoka wapi ?? Kwanini imekuwa ghafla na kwa CCM kufanya uamuzi wa ajabu ambao haujapata kutokea wa kuzunguka NCHI kuelezea mkataba mmoja tu ...
  7. Wakili wa Serikali Mayunge: IGA Kama ilikuwa na shida sisi tunaona ipo proper

    Huyo ndiye Wakili wa Serikali ambaye ni miongoni mwa wale wanaoshindwa na Kesi za Masuluhisho nje. Yaani Dunia nzima ione kuna kasoro, halafu yeye ndiye anayeiona ni "Proper"?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…