Dr Jane Goodall, mtaalamu mashuhuri wa masuala ya sokwe na mwanaharakati wa uhifadhi, amefariki dunia, kwa mujibu wa taasisi yake ya uhifadhi. Alikuwa na umri wa miaka 91.
"Taasisi ya Jane Goodall imepata taarifa asubuhi ya leo, Jumatano, Oktoba 1, 2025, kwamba Dkt. Jane Goodall DBE, Mjumbe wa...