Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi, lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni, yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni, kwamba angalau pamoja na kuiba kura, angalau viongozi wa ccm...