Anatia huruma sana,
Kadiri anavyojitahidi kujipambanua, kujieleza na kujenga hoja juu ya mambo mbalimbali nchini, anazidi kutia huruma zaidi. Reception yake ni passive mno kwa wanachadema.
Huenda hawamuamini kabisa.
Facial expressions, tone na body language yake katika ujumla wake vinaonyesha...
Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.
MBOWE na kina @adamoo walipokuwa...
MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa...
Wakuu!
Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.
Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi
Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Aidha amesema na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu...
Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19).
Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
Dr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa muungwana mno kwao sasa wanakuona mjinga. Waache wapambane na hali zao!
Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho kitakufa
Makamba alisema muhimuli wa CHADEMA uko kwa Mbowe na Dr. Slaa kwamba watu hawa ndio nguzo ya...
Aliyasema hayo Dr. Slaa kuhusiana na Uchaguzi 2015 na issue ya kile kituo cha kukusanyia matokeo. Kile kituo kilikuwa cha siri na watu waliofahamu wachache Mbowe akiwepo.
Inasemekana yeye ndo alitoa siri kwa akinq Jan Makamba akapokea Bil 5. Ili asaliti mapambano.akatoa siri ya wapi hicho kituo...
Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga.
Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo wameibuka kidedea na kinara wa kuchafua wenzake ameonekana.
Zitto, Prof. Kitila, Dr. Slaa, Msigwa, mzee...
habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa
TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.