dr. slaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi Dkt. Slaa ni umri ndio umemtupa mkono au siasa ndiyo imeaanza kumkataa rasmi?

    Anatia huruma sana, Kadiri anavyojitahidi kujipambanua, kujieleza na kujenga hoja juu ya mambo mbalimbali nchini, anazidi kutia huruma zaidi. Reception yake ni passive mno kwa wanachadema. Huenda hawamuamini kabisa. Facial expressions, tone na body language yake katika ujumla wake vinaonyesha...
  2. Pre GE2025 Je, ni kwamba Rais hajui kuwa Dkt. Slaa anasota jela kwa makosa yanayo dhaminika?

    Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine. MBOWE na kina @adamoo walipokuwa...
  3. Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu

    MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa...
  4. Tetesi: Dr. Slaa uenda akatolewa leo kwa dhamana.

    Mawakili wake wameitwa Kwa Msajili wa Mahakama ahsubuhi hii. Tutarajie taarifa njema kwa mzee wetu. Nawatakia furaha njema ya ushindi wa Lisu na Heche
  5. Pre GE2025 Lissu: Mbowe amesema mimi na wenzangu tutakiona cha mtemakuni akirejea madarakani

    Wakuu! Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama. Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi
  6. Pre GE2025 Lissu: Dr. Slaa ndiye alimleta Lowassa CHADEMA

    Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa. Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa Aidha amesema na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu...
  7. Pre GE2025 Ni ujinga na upuuzi kwa viongozi CHADEMA kutengeneza mkakati wa kuwarejesha Dkt. Slaa, Msigwa au wabunge 19

    Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19). Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
  8. R

    Pre GE2025 Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti Mpya; Mbowe akawa mshauri wa Chama, Dr. Slaa atarejea CHADEMA?

    Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
  9. F

    Mbowe usihangaike na Dr. Slaa huko lupango mwache ahangaike na hali yake mwenyewe

    Dr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa muungwana mno kwao sasa wanakuona mjinga. Waache wapambane na hali zao!
  10. B

    Mzee Makamba aliwahi kusema 'Ukifanikiwa kuwaondoa Mbowe na Dkt. Slaa CHADEMA itakufa'

    Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho kitakufa Makamba alisema muhimuli wa CHADEMA uko kwa Mbowe na Dr. Slaa kwamba watu hawa ndio nguzo ya...
  11. Mbowe kuna baadhi ya wana Ukawa mpaka leo hawazungumzi naye. Aliwauza Dr. Slaa

    Aliyasema hayo Dr. Slaa kuhusiana na Uchaguzi 2015 na issue ya kile kituo cha kukusanyia matokeo. Kile kituo kilikuwa cha siri na watu waliofahamu wachache Mbowe akiwepo. Inasemekana yeye ndo alitoa siri kwa akinq Jan Makamba akapokea Bil 5. Ili asaliti mapambano.akatoa siri ya wapi hicho kituo...
  12. S

    Tusameheni Zitto, Dr. Slaa na wengine wote mliopakaziwa tuhuma za usaliti ndani ya CHADEMA. Mlikuwa mbele ya wakati

    Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga. Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo wameibuka kidedea na kinara wa kuchafua wenzake ameonekana. Zitto, Prof. Kitila, Dr. Slaa, Msigwa, mzee...
  13. Pre GE2025 Dkt. Slaa amvaa mazima Askofu Shoo amwambia "Kuwa na misimamo"

  14. R

    Dkt. Slaa adokeza kuwa amepata habari Deus Soka atauawa leo na kutupwa kwenye msitu

    habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!! Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…