Mashindano ya siku Tatu ya drafti kitaifa yameanza leo huko Chunya, Mbeya.
Leo yamechezwa makundi na 16 bora.
Walioingia 16 bora ni hawa.
RATIBA RASMI YA MASHINDANO YA DRAFTI KITAIFA IMESHATOKA.
YATAANZA RASMI TAREHE 30 AGOSTI 2023 HADI 01 SEPTEMBA 2023.
MASHINDANO YA KUMTAFUTA BINGWA WA...
Kwema Wakuu!
Niliwahi kumsikia Mzee wetu, Rais Mstaafu Jakaya mrisho Kikwete akisema; ukikata Kula sharti nawe uliwe. Naweza kuwa sijanukuu Kama ilivyo lakini ujumbe ulikuwa na maana Sawa na huo.
Taikon ni moja ya wacheza Drafti mahiri Sana katika mchezo huo. Mabingwa wa Drafti wanajua kanuni...
Kuna mtu alileta uzi humu wiki moja iliopita kuwa laki 2 inagombewa Pale manyanya, nani aliibuka mshindi kati ya Walioingia robo fainali Ya drafti (Cisco, athumani na Yasini?) Mwenye habari atujuze Darius RR ilala yetu
Niaje wadau, Bila shaka humu kuna wanazi wa kutosha wa mchezo wa Drafti. kwa mfano kwenye simu kuna Checkers by dalmax ni nzuri kwa kweli sema haina version ya pc.
Je kuna mwenye kufahamu drafti zuri kwa ajili ya PC!
Uzi tayari!
Wanadrafi wenzangu ni kwa muda kidogo nazisikia hizi wanasema ooooh kuna kete tatu mpya, hivi zinategwa vipi? Tupeane hizo pattern kama unazijua. Ahsante
Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021
Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-.
Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya.
Mafundi wote unaowajua wanatarajiwa kuwepo.
Baadhi ya mafundi wanaotarajiwa kuwepo ni:
Ronaldo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.