Okay my dadas, kwanza kabisa habari zenu :)
kama tunavyojua, kila mmoja wetu hapa ana story za ajabu kuhusu mambo waliofanya kisa mapenzi. Some are wild, wengine funny, weingine cringey, na wengi wetu (mimi nikiwemo) embarrassing lol!🤣
lakini this is not a judgment zone, WE LISTEN & WE DON'T...