BUNDI anaelekea kulia katika Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kwa sababu Mwenyekiti wa chama hicho, Lameck Nyambaya kubananga katiba yake.
Tangu achaguliwe kushika wadhifa huo kwenye uchaguzi uliofanyika karibu miezi minne, Nyambaya hajaitisha kikao cha XCom ambacho kingefanikisha...