drones

The Drones Club is a recurring fictional location in the stories of British comic writer P. G. Wodehouse. It is a gentlemen's club in London. Many of Wodehouse's Jeeves and Blandings Castle stories feature the club or its members.
Various members of the club appear in stories included in the "Drones Club series", which contains stories not already included in other series. Most of the Drones Club stories star either Freddie Widgeon or Bingo Little.
The name "Drones" has been used by several real-life clubs and restaurants.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Urusi yakamata shehena ya drones za Marekani, American Kamikaze drones switchblade: "Tutazitumia kuangamiza magarivita na vifaru vya Ukraine"

    Majeshi ya Russia yamekamata shehena ya droni za Marekani (American Kamikaze drones switchblade) zilizopelekwa na Marekani kuisaidia Ukraine. Russia imetoa picha za drones hizo, mzigo ukiwa mpyaa toka kwenye mabosi yake, na imesema ndugu watazamaji tutegemee kuona video motomoto hivi karibuni...
  2. M

    Jinsi Meli ya kivita ya Urusi ilivyochanganywa na Drones za Mturuki kabla ya kulipuliwa na kuzama

    Mzuka wanajamvi! Fahari ya Urusi katika black sea jinsi inavyojulikana iyo Meli manowari iliyopachikwa jina la Moskva au Moscow mji mkuu wa urusi ilivyolipuliwa na kuzamishwa katika operesheni ya aina yake kutoka kwa 'Defenders' makomandoo wa Ukraine waliotumia ujanja wa aina yake. Ni hivi...
  3. Video: Hizi drones Bayraktar TB2 za Uturuki ni shida, Waafrika tutafika lini huku?

    Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu. Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na...
  4. Uganda kutumia ndege zisizo na rubani kusafirisha ARVs kwa wakazi wa Visiwa vya Ziwa Victoria

    Wakati chupa za dawa zikipakiwa katika ndege zisizokuwa na rubani kwa ajili ya kusafirishwa, kundi la watu limekusanyika kwa mbali kutazama ndege hiyo yenye upana wa mita 1.5 katika eneo la Kituo cha Afya cha Bufumira III, jimbo la Kalangala nchini Uganda. Mzigo huo wa dawa za kufubaza makali...
  5. Drones zinatumika kunyunyizia dawa mimea -Kenya

    Mbinu hii mpya inaokoa gharama na muda. https://www.businessdailyafrica.com/bd/corporate/technology/drones-help-farmers-to-cut-spraying-costs-3380338.
  6. Vijana wengi Wakenya wajiunga kusomea urubani wa "drones", unalipa sana siku hizi

    Kenyans are rushing to enroll into drone academies as they seek to equip themselves with drone piloting skills so as to obtain operating licences. Many of the Kenyans enrolling into the academies want to learn as well as obtain about licences that will allow them operate commercially. Drones...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…