Deep Space Expedition Alpha (DSE-Alpha), is the name given to the mission proposed in 2005 to take the first space tourists to fly around the Moon. The mission is organized by Space Adventures Ltd., a commercial spaceflight company. The plans involve a modified Soyuz capsule docking with a booster rocket in Earth orbit which then sends the spacecraft on a free return circumlunar trajectory that circles around the Moon once. While the price was originally announced in August 2005 to cost US$100 million per seat, Space Adventures founder Eric Anderson announced in January 2011 that one of the two available seats had been sold for $150 million.
Habari za Jua kali Wakazi wa Duaniani.
Kuna mahala nimesikia habari ya kwamba, Katika Tasnia ya Uwekezaji hasa katika passive income ,inayowekezwa Kwa kununua Hisa, Vipande au ,Bond watanzania wengi bado wapo nyuma sana, na ni Jamii moja tu ya Wachaga ambayo ndo Inaonekana ikifanya Vizuri...
Serikali imetangaza SGR imekusanya bil 15 kwa miezi hii michache japo haijasema matumizi ni kiasi gani bado kuna dalili njema kwamba mambo ni mazuri.
Serikali iuze share kwa watanzania , ili kukuza mtaji na kuboresha utendaji. Serikali ibakie na 49 % na itakua na uhakika wa kupata gawio kubwa...
Habari za muda huu wakuu, mimi nilikuwa na swali kidogo kuhusu DSE.
Hasa kuhusu namna ya kujisajili na namna ya kupata brokers.
Mwishoni mwa mwaka jana nilijisajili na nahisi nilitumiwa baadhi ya taarifa ambazo (kutokana na kutokuwa makini) nilizipoteza.
Nikajaribu kuforget password system...
Habari za wakati huu,
NI matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri na kudumu katika ujenzi wa taifa lenu.Kama ilivyo ada leo nimeona nilete mjadala kuhusu soko la HISA la Dar es Salaam.Msingi wa majada huu unatokana na ukweli kwamba uchangamfu wa Soko letu la HISA na mchango wake katika UCHUMI...
Ifuatayo ni list ya matajiri 10 katika soko la hisa la dar es salaam (DSE) mpka kufikia siku ya tarehe 26-06-2023, kama ilivyoandikwa na THE BUSINESS WIZ siku ya tarehe 30-06-2023.
The 10 richest Tanzanians on the Dar es Salaam Stock Exchange
Patrick Schegg a former Hedge fund manager, owns the...
Tanzania haiishi vituko.
Soko la Hisa la Dar es Salaam wanafuatilia kampuni ambayo imesajiliwa kwenye soko hilo inayoitwa JATU PLC.
Hii ni kutokana na hisa za kampuni hiyo kushuka kutoka TZS 2,900 hadi TZS 290 sawa na angulo la asilimia 90.
Angalia hapa.
Swali la kujiuliza, kabla ya...
Wakuu,
Kama kawaida kila siku lazima nipitie kwenye mambo yangu ya uwekezaji , ndipo nilipokutana na hili
https://thebusinesswatch.com/cfa-east-africa-signs-an-mou-with-dar-stock-exchange/
https://sokodirectory.com/2022/11/dar-es-salaam-stock-exchange-signs-mou-with-cfa-east-africa-society/...
DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Nilifanya course iliyopita na kwakweli madini niliyoyapata yalikuwa yamesimama. huwa naattend sana forums nyingi za investments na personal finance lakini hii course ilinifanya nijue kiundani jinsi soko la mitaji linavyofanaya kazi...
Thamani ya hisa zilizoorodheshwa kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imeonesha kushuka kwa kasi katika siku 20 zilizopita huku mauzo ya DSE kwa wiki iliyopita yakipungua kwa 21.62% hadi kufikia Tsh. Milioni 890.43 kutoka Tsh. Bilioni 1.13.
Kwa mujibu wa ripoti za DSE, jumla ya mtaji wa...
DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Baada ya kuangalia content nimeona walimu watakaofundisha ni kutoka watu wenye experience kutoka vitengo vya Treasury - Bank, UTT Amis watu wa portfolio management , kuna wengine pia ni CFA Holders!
Kudos DSE this is good work, Tukutane...
Kwanini Makampuni Makubwa yaliyowekeza nchi mbalimbali duniani ikiwemo Urusi, Ulaya, USA na China yameorodheshwa kwenye stock market za nchi husika Ila Tanzania Makampuni Makubwa ya Gesi na Madini hayapo, Tena mengine yanafanya kazi hapa lakini yapo kwenye masoko ya Hisa ya Ulaya.
Au mi...
Personal Fınance,
Hili ni somo muhimu sana ambalo kila mwanadamu angeweza kuliishi basi tungekua tumefanikiwa kuwa na uhuru wa kifedha kwa asilimia kubwa sana.
Personal Finance ni uwezo wa mwanadamu kutenga pesa kwaajili ya matumizi yake ya sasa na ya baadae.
Tunashauri mtu afate njia ya...
Habari wadau,
Naombeni ushauri na elimu juu ya Brokers wa DSE.
• Je, ni vigezo gani naweza kutumia kutambua ubora wa Broker.
• Kama uliwahi kushiriki katika soko la DSE je, ulitumia Broker gani na kwanini ulimchagua huyo Broker.
Natanguliza Shukrani. Karibuni.
Kama mmoja wawatumiaji wa Mobile Trading iliyoanzishwa na Dar es salaam Stock Exchange siku za husoni napenda kuzungumzia yafuatayo kwa kuwasadia watumiaji wa sasa na wajao pamoja na kuwajibishwa na wanaosimamia hiyo DSE mobile Application.
1. Kwa uwelewa wangu mdogo , Mobile App yoyote kabla...
Habari, naomba msaada wa kuapata suggestions za majina ya brokers wa DSE ambao kwa experience zenu wapo active, responsive kwa wateja wanaotaka kufanya trading ya kuuza na kununua hisa hasa kwa mihamala midogo midogo. NB. Kwa experience binafsi response sio mzuri mabroker hawajibu.
Asante
How to Invest on the Dar es Salaam Stock Exchange
If you really want to invest at the furthest reaches of Africa’s frontier markets, the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) is for you. The little market lists only 11 local companies and trade volumes often don’t exceed $500,000 per week.
But the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.