Mahafali ya 28 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) kwa ajili ya kutunukiwa Astashahada na Stashada yanafanyika leo Ijumaa Desemba 15, 2023 Ilala Jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi wa shughuli hiyo ambayo inafanyika kwenye Ukumbi wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) ni Mkurugenzi...