dubai expo 2020

Expo 2020 (Arabic: إكسبو 2020) is a World Expo, currently hosted by Dubai in the United Arab Emirates from 1 October 2021 to 31 March 2022. Originally scheduled for 20 October 2020 to 10 April 2021, it was postponed due to the COVID-19 pandemic. Despite being postponed, organizers kept the name Expo 2020 for marketing and branding purposes. The Bureau International des Expositions (BIE) general assembly in Paris named Dubai as the host on 27 November 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. and 300

    Tathmini ushiriki wetu Dubai Expo 2020

    Maonyesho tajwa yameisha (yalianza Oktoba 2021 mpaka Machi 2022) je Kama nchi tumevutia wawekezaji kiasi gani? Tulipata audience na wawekezaji serious? Mikataba gani tulisaini? Kuna ambalo tumejifunza huko? Tunaweza kuanza kufikiria Dar Expo 2090?
  2. GENTAMYCINE

    Wakati Wanaojitambua Ghana wanarudisha Raia wao kutoka Ukraine na Urusi, wale Wasiojitambua wako busy Kushangilia Bendera yao Dubai

    Sishangai sana kwani hata katika Ustaarabu Kihistoria barani Afrika ulianzia hasa nchini Ghana. Sishangai mno kwani hata Siasa bora na Demokrasia iliyokomaa Barani Afrika ilianzia nchini Ghana wengine wakaiga. Vile vile sishangai zaidi kwani hata Wasoni wengi na Watu Wetevu (Intelligent)...
  3. sifi leo

    Combination ya Nape, Makamba na Mwigulu nchini Dubai sina imani nayo kabisa

    Najua ntashambuliwa sana, ila kwa kifupi combinations ya Nape, Mwigulu na Makamba ndani ya Dubai Sina Imani nayo kabisa. Kwanini nasema hivyo? Historia za hawa vijana wenzetu ziko wazi na hakuna anae jua yakuwa wapo tayari kuitwa mawaziri wastaafu mpaka hapo walipo? Kimsingi hawa watu Bado...
  4. Bila bila

    Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

    Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa. Fedha hii kwa nchi...
  5. M

    Rais Samia pamoja na ziara yako nzuri huko UAE, Suala la Ngorongoro liwe nje ya ajenda

    Mheshimiwa Rais, Umefanya ziara ya kikazi huko UAE, hilo ni jambo zuri tunalifurahia Lakini wakati ukifanya Ziara hiyo, Watanzania hatujasahau kuwa Kampuni ya waarabu wa UAE iitwayo OBC imekuwa ikimezea mate ardhi ya wananchi inayokaliwa na wamasai huko Ngorongoro. Tuna historia nzuri namna...
  6. B

    Dubai: Rais Samia ahudhuria Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) ya maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020

    Leo Jumamosi Februari 26, 2022 huko Dubai kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ni Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kuonyesha fursa zake za uwekezaji, biashara, utalii n.k. ambapo Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi leo Jumamosi...
  7. B

    Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'

    Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'. Kesho Jumamosi ndo siku yetu Tanzania na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza tukio.
  8. B

    Rais Samia ndani ya Dubai EXPO 2020 kutangaza fursa za biashara na uwekezaji Tanzania

    Na Bwanku M Bwanku. Kwenye Gazeti la TANZANIA LEO la Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye ukurasa wa 3 nimechambua hatua ya Rais Samia kushiriki maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Uwekezaji na biashara ya Dubai Expo 2020 huko Dubai. Kesho Februari 26, 2022 ni Siku ya Tanzania (Tanzania Day)...
  9. J

    Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

    Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020 Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu. Chanzo: TBC
Back
Top Bottom