Ducati ni kampuni la kutengeneza pikipiki kutoka Italy, na ni ndugu wa damu na Lamborghini ambae ni mmiliki, na wote mzazi wao akiwa ni Audi na Babu yao ni Volkswagen Group.
Sasa Ducati ni wababe sana kwenye ulimwengu wa Sportbikes na Superbikes, wale wapenzi wa MotorGP watakua mashahidi. Jamaa...