MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi imemuonya Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe kwa kutofika Mahakamani tangu shauri la madai ya malimbikizo ya mishahara ya Waandishi wa Habari 10 lilipofunguliwa mwanzoni mwa mwaka jana na kumuamuru kulipa fedha hizo.
Dudley ambaye ni mtoto wa...
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi, Januari 6, 2025 inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya waandishi wa habari Maregesi Paul na wenzake 9 wanaotaka Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe aamuliwe kwenda gerezani kama mfungwa wa madai kwa kushindwa kulipa malimbikizo ya misharaha yao...
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada.
Haiwezekani mtetezi wa...
Na mwandishi wetu
Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Dudley Mbowe na kuipiga mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi wa habari.
Uamuzi huo wa mahakama...