Heri ya Xmas
Niende kwenye mada kwa Tanzania asaiv huenda bwana DUDU BAYA akawa ndio MSHAURI mashuhuri wa NCHI hii ni baada ya kuona ikitokea sintofahamu yoyote nchini waaandishi mara moja hukimbilia kumuomba ushauri au maoni iwe kisiasa kimapenzi nk...
Familia ya dudu baya (msanii) mtoto wenu anaitwa Wille Yupo analala nje coco beach amedata
Kwa kulinda privacy sitoweka Picha yake .
Huyu Kijana anatumia Bangi, Pombe , na uchafu mwingine
Amedata kiakili analala Nje , mchafu hana nguo , akili haifanyi kazi .
Unfortunately Baba yake anapitia...
Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia
Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hivi yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote...
Kwa nini Airport ya Dar es Salaam huwa hawauzi Ugali, ubwabwa kama wa mtaani, pilau, ndizi, mchicha, metembele, magimbi, mihogo, viazi vitamu, dagaa, chips mayai(zege) na vyakula vingine vya aina hiyo vya Kiswahili, Kitanzania au kiAfrika zaidi?
Soma Pia: Unauonaje ushauri wa "Dudubaya" kuhusu...
Akizungumza kwenye moja ya blog za mitandaoni msanii huyo mkongwe amesema kuwa inayoitwa amani tuliyonayo Tanzania ni kwa vile tu wananchi wamenyimwa elimu ya haki zao.
Amesema kwa mtanzania akiwasha runinga akaona kipindi kinaongelea mambo ya katiba anahamisha hiyo chanel haraka sana...
Hivi huyu Manguruwe ni nani na katokea wapi? lengo lake nini?
Leo kakutana na kipondo cha Dudu baya kwa madai ya kumkashifu.
---
Siku chache baada ya mfanyabiashara na mmiliki wa mradi wa kijiji cha nguruwe, Saimon Mkondya kumsemea mbovu msanii mkongwe nchini Dudubaya, msanii huyo amemtimbia...
Dudu Baya awaasa viongozi wa kiimani na pia kuwasisitiza kujenga nyumba za ibada katika sehemu tulivu zenye nafasi ya kujenga madrasa, Sunday schools, misikiti na makanisa ambazo hazijapakana na mabaa au kumbi za muziki au stendi za mabasi, masoko n.k
https://m.youtube.com/watch?v=jXu_AGfnkTU...
Baraza la Sanaa Tanzania lamfutia usajili msanii Godfrey Tumaini maarufu Kama "Dudu baya" kwa kosa la kutumia mtandao wake wa Instagram kuwatukana wadau wa mziki.
Hivi karibuni msanii huyo alitumia maneno mabaya na kauli chafu kumtupia Mkurugenzi Mkuu wa Benchmark "Madam Rita" kwenye sakata...
Mwanamziki Dudu baya a.k.a Konki Konki Konki Master ashangazwa na kitendo cha media nyingi kurusha vitu vya hovyo hewani pamoja na kuwahoji watu kama James Delicious, Amber Rutty ambao wanasifika kwa mambo machafu lengo lao ni nini?
Dudu Baya "Ameongeza pia kuna siku nilisikia mtangazaji ana...
Msanii Dudu amefunguka baada ya kusikia kufungiwa mziki wake amesema sijapata wala kupokea barua yao so nitaendelea na mziki wangu Kama kawaida mpaka pale nitapopata barua yao alafu pia me sijafanya kosa lolote kwanini kuzungumzia kwangu na kukea matendo ya usagaji, ushoga na ufiraji ninaonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.