dudubaya

  1. Mr Why

    Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au Vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa

    Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa kwasababu walikuwepo wanachama wakubwa sana akiwemo Chacha Wangwe, Ndesamburo, Lowasa, Alphonce mawazo na walipoondoka CHADEMA haikufifia Tazama Video hii
  2. T

    Uzi wa interview za Dudubaya

    Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya interviews za Dudubaya. https://www.youtube.com/watch?v=S9kF6XQbr_E
  3. GoldDhahabu

    Unauonaje ushauri wa "Dudubaya" kuhusu vyoo vya mwendokasi na uwanja wa ndege?

    Anasema: 1. Vyoo vya mwendokasi vimejengwa mbali sana kutoka kituo kimoja hadi kingine 2. Uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam usitegemee maji ya Dawasa pekee Unauonaje ushauri wake?
  4. P

    Yuko wapi msanii Dudubaya?

    Dudubaya amepotea tokea 13 agosti, 2020 , leo ni miezi sasa lakini ukimya ni mkubwa, hata km alitukana watu lakini thamani ya uhai ni kubwa kuliko matusi yake. Dudubaya yupo wapi?
  5. I

    Namtafuta Dudubaya

    Leo nimesikiliza habari mtandaoni kutoka kwa mtoto wa Dudubaya anayeitwa Maria kwamba baba yake amepotea tangu 13/08/2020. Wanajamii forums pamoja na tabia yake ya "kuwazodoa" watu mbalimbali inawezekanaje apotee kwa miezi mitatu kusiwe na kutafutwa na watu na wapenzi wake zaidi ya 26,000 kwenye...
  6. Analogia Malenga

    Dudubaya asamehewa

    Serikali ya Tanzania imemsamehe msanii, Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya baada ya kumfungia kwa muda usiojulikana kujihusisha na kazi za sanaa. Alifungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) baada ya kukataa wito kuhojiwa kuhusu tuhuma alizozitoa katika mitandao ya kijamii kuhusu sanaa. Baraza...
Back
Top Bottom