Huu ni uzi maalumu wa kuelezea changamoto wanazopitia wafanyabiashara wa Maduka ya Rejareja almaarufu "Maduka ya Mangi".
Kama una Changamoto yoyote unayopitia andika hapa, hata kama wateja wanakukosea pia ongea hapa.
Asante.
Habari wakuu:
Nafanya biashara ya duka la rejareja yapata miaka 6 sasa mafanikio makubwa nimeyapata kupitia hii biashara hakika sijutii kuingia katika hii biashara.
Nakaribisha wana JF kushare nikichokua nacho kupitiaa hii biashara ya duka la rejareja pia nakaribisha wadau wenye uzoefu...