dullah mbabe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kauli ya Dullah Mbabe kupigana akiwa mgonjwa kisa kupata mkate wa familia, bodi ya ngumi mjitathmini

    Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na masomo ukiwa hai, laZima utafanya shughuli yoyote ya hatari watoto wapate ridhiki. Dullah Mbabe ni kati...
  2. Dullah Mbabe umetuonesha wewe ni kichwa cha familia

    Baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Mzambia Mbachi Kaonga, Bondia Dullah mbabe alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari. Mwandishi: Ulilionaje Pambano? Dullah: Lilikuwa gumu, siko sawa, siko fit nina 'hogo' (Akaonesha picha katika simu), nilikuwa kwenye matibabu kwa miezi sita...
  3. Mandonga na Dullah Mbabe Wamshukuru Rais Samia kwa Kuendelea Kusapoti Michezo Nchini

    Miaka minne kasoro ya Uongozi wa serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wetu mpendwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekuwa na mafanikio makubwa sana katika sekta ya michezo, sekta ambayo imebeba matumaini makubwa ya vijana waliojiajiri kupitia vipaji mbalimbali walivyonavyo. Si tu katika michezo...
  4. Dullah Mbabe apoteza kwa pointi dhidi ya Eric Katompa, Arusha, Novemba 25, 2023, Dullah alalamikia Majaji

    Mzaramo Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe anapigana na Mcongo, Erick Katompa katika pambano la Uzito wa Super Middleweight Mkoani Arusha Wawili hao waliwahi kukutana Oktoba 1, 2021 ndani ya Viwanja vya PTA pale Sabasaba Jijini Dar es Salaam ambapo Katompa alimtwanga Dullah Mbabe...
  5. Bondia Abdallah Pazi 'Dullah Mbabe amesema kwa sasa anapumzika kupanda ulingoni

    Mbabe ametoa kauli hiyo kwenye mahojiano na Mwananchi Digital ikiwa ni siku moja baada ya kuchapwa na Tshimanga Kantompa wa DR Congo. Bondia huyo namba mbili nchini kwenye uzani wa super middle amesema amelazimika kujipa muda wa kupumzika ili kujipanga upya. "Mwakani ndio nafikiria nitarudi...
  6. Tusilazimishe pambano la Kiduku na Mwakinyo

    Na K.S.K Heshima yenu wana jamvi, binafsi nimefurahishwa sana na ushindi wa kiduku kwa mara nyingine tena mbele ya dulla mbabe, na baada ya kiduku kubeba crown kumekuwa na hoja nying ya team kiduku wakimtaka/tukimtaka mwakinyo,binafsi sio muumin sana wa kutaka pambano hilo lifanyike mapema ešp...
  7. Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

    Leo kama kawa nitakuwa nawaletea updates za pambano hili ambalo kimsingi mmoja ataondoka na gari. Aidha kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi. === TWAHA KIDUKU AMTWANGA DULLAH MBABE, AJINYAKULIA GARI Bondia Twaha Lubaha maarufu Twaha Kiduku amejinyakulia gari baada ya kumtwanga Abdallah...
  8. Dullah Mbabe na wenzake wapoteza mapambano yao nchini Urusi

    Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amepoteza pambano lake dhidi ya Pavel Silyagin lililopiganwa Moscow, Urusi wakiwa wanawania mkanad wa Asian Pacific mkanda wa WBO ambapo alishindwa kwa points. Aidha Twaha Kassimu (Twaha Kiduku) amepoteza kwa points katika pambano lake dhidi ya Bek...
  9. Mabondia wanne wa Tanzania wamewasili Urusi kupambana akiwemo Dullah Mbabe

    Mabondia wanne wa Tanzania akiwemo Dullah Mbabe wamewasili nchi Urusi kuzichapa na mabondia wa Urusi ambao awali Dullah Mbabe aliwataja kuwa wanapiga sana, lakini ameamua kwenda. Dullah Mbabe atapambana na Pavel Silyagin kuwania ubingwa wa Asian Pacific mkanda wa WBO. Twaha Kiduku atapambana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…