duma boko

Duma Gideon Boko (born 31 December 1969) is a Botswana politician and lawyer currently serving as President of Botswana since 1 November 2024 and as leader of the Umbrella for Democratic Change since 2012. He served as the Leader of the Opposition in the National Assembly from 2014 to 2019.
Duma Boko attained the presidency of the BNF in 2010. He led the creation of the Umbrella for Democratic Change, an alliance of the main opposition parties in Botswana. He ran as the alliance's president in Botswana's general elections in 2014 and 2019. At the 2024 election, he led his party to victory and was sworn in as President of Botswana on 1 November 2024.

View More On Wikipedia.org
  1. The Sheriff

    Vipaumbele vitano vya Rais mpya wa Botswana, Duma Boko. Je, atatimiza kwa mwendo wa duma au atatoa boko?

    Baada ya kushinda uongozi ulioshikiliwa kwa karibu miongo sita na chama kimoja, hivi ni vipaumbele vitano vya Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, kama alivyoahidi wakati wa kampeni na hata baada ya kushinda kiti hicho. Wananchi wa Botswana wanataraji kuona ahadi hizi zikitekelezwa kwa imani kuwa...
  2. The Sheriff

    Rais mpya wa Botswana, Duma Boko kuwapa wahamiaji kutoka Zimbabwe vibali vya muda vya kazi na makazi

    Rais wa Botswana, Duma Boko, akihutubia baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa nchi hiyo. Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, amesema anataka kuhalalisha Wazimbabwe wasiokuwa na vibali rasmi kwa kuwapa vibali vya muda vya kazi na makazi. Ameeleza kuwa Wazimbabwe hufanya kazi ambazo wananchi wa...
  3. The Sheriff

    Duma Boko aapishwa rasmi kuwa Rais wa Botswana

    Duma Boko ameapishwa rasmi kama Rais wa Botswana leo, Ijumaa Novemba 8, baada ya chama cha Botswana Democratic Party (BDP) kupoteza mamlaka yake katika uchaguzi uliofanyika Oktoba. Baada ya kutawala kwa miaka 58, BDP ilishindwa na muungano wa upinzani wa Boko, Umbrella for Democratic Change...
Back
Top Bottom