Kusimamia familia ndogo ya duma kunaweza kuonekana kuwa ni jambo jepesi na rahisi kwa mama duma, lakini kila siku ni changamoto ya kimyakimya yenye kuhitajiuvumilivu sana. Alfajiri, anaamka, akifahamu kuwa hatma ya watoto wake ipo mikononi mwake.
Watoto wake, wakiwa bado wamejaa nguvu...