dunia nzima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 Dkt. Slaa: Makosa yanayofanywa na serikali yanatupa nafasi ya kujulikana dunia nzima

    Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dkt Wilbroad Slaa ameeleza kuwa makosa yanayofanywa na serikali yanawapa wao (wapinzani) nafasi ya kutambulika dunia nzima, mathalani yeye kufungwa kwake kumpa nafasi ya kwenda kuzungumza na watu mbalimbali ulimwenguni na kujulikana hata na wasiokuwa...
  2. Kutoka kwa kufuta “orodha hasi” hadi “ushuru sifuri”, China yafungua mlango zaidi kwa dunia nzima

    Kuanzia tarehe mosi Desemba, China itasamehe ushuru wa forodha kwa bidhaa zote za nchi zilizoko nyuma kimaendeleo zaidi duniani ambazo zimeanzisha uhusiano wa kibalozi na China. Hapo awali, China imetekeleza orodha mpya hasi kwa uwekezaji wa kigeni katika sekta za utengenezaji kuanzia tarehe...
  3. Maisha ya Nikola Tesla na mawazo ya kusambaza umeme wa wireless bure dunia nzima

    MAISHA YA NIKOLA TESLA NA MAWAZO YA KUSAMBAZA UMEME WA WIRELESS BURE DUNIA NZIMA Nikola Tesla alizaliwa julai 10 mwaka 1856 huko Smiljan Austria Empire ambayo kwa sasa ni Croatia akiwa ni mtoto wa nne kwa wataoto wa tano wakike watatu na wakiume wawili na Milutin Tesla (1819-1879) na mama...
  4. Hivi haiwezekani dunia nzima tukaungana tukaivamia North Korea kupitia UN na kumtoa Kim Jong Un madarakani?

    Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII Kwanza Kim ndo anaongoza kwa kuwa na hostages wengi zaidi in the world kwani anaongoza watu Milioni 26 ambao...
  5. Kizimkazi Festival kutizamwa dunia nzima

    Tamasha kubwa la burudani na utamaduni la Kizimkazi Festival linatajwa kutazamwa dunia nzima kupitia TV, insta live na YouTube.
  6. Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  7. Mfumo wa TEHAMA watetereka dunia nzima baada ya Kampuni ya Microsoft kupata changamoto kwenye mifumo yako

    Taarifa inayoendelea kwa kasi sasa ni IT kuvurugika dunia nzima. Summary * Major IT outages have hit industries across the world; almost 1,400 flights are cancelled and banking, healthcare and shops affected * Cybersecurity firm Crowdstrike says a "defect" in one of its software updates hit...
  8. J

    Benki zote zina matatizo ya kimtandao, tatizo ni la dunia nzima

    Kuna matatizo ya kimtandao yametokea benki karibu zote duniani. Nimeenda benki tangia asubuhi huduma hakuna Vip na wewe umekutana na tatizo hili?
  9. Bunduki za Marekani zatishia usalama wa nchi hiyo na dunia nzima

    Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo, Donald Trump, hivi karibuni alipigwa risasi na kujeruhiwa huko Pennsylvania alipokuwa akihutubia katika kampeni ya uchaguzi, jambo ambalo kwa mara nyingine tena...
  10. UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Naam, ni Hakika! Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024. Mashindano haya ya kusisimua, yanayofanyika mara moja kila baada ya miaka minne, yataanza kutimua vumbi Ijumaa...
  11. USA hata kama akasimama pekeake dhidi ya dunia nzima kivita, bado tutapigwa tu

    Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye: a) Uchumi b) technology c) silaha d) Vita e) Biashara Uwezo wa Marekani ni mkubwa mno kwenye hizo nyanja. Kama...
  12. Historia ya Tanganyika: Kubali Ukweli Hata Kama Ukweli Unapingwa na Dunia Nzima

    AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA Lupweko said: Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya kuaminika Lupweko, Mimi sina historia iliyo yangu. Historia ni kama ilivyotendwa na wahusika hao...
  13. KERO CWT ni Chama cha wafanyakazi kisichopendwa na wadau wake. Wanalazimisha uanachama!

    Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania. Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo ukiwahoji muhitadha wao na chama watasema ni negative. Hawana mpango nacho na kwa.kuwa kuna mikono ya...
  14. Misso Misondo ni mgodi wa kuvuna hela nje ya nchi. creativity yake ikipata promoters wazuri inauzika dunia nzima

    nilikuwa namchukulia poa misso misondo wakati anatrend mwanzoni. ila nimegundua sio mtu poa huyu kijana. kila siku anabuni biti mpya na unakuta kali kuliko ile ya zamani. ushauri wangu kwake ajiongeze apate mtu wa kumuandikia na mistari kidogo tena iwe ya kiswangilish.. kiingereza kwa mbalii...
  15. R

    Pre GE2025 Hashim Rungwe: Ni haki ya kila chama dunia nzima kufanya maandamano wakiona kuna mambo hawaridhiki nayo

    Hashimu Rungwe atoa maoni yake kuhusu maandamano ya CHADEMA, asema ni haki ya dunia nzima kufanya maandamano ikiwa kuna mambo wanaona hayaendi sawa. Katiba ya nchi inaviwezesha vyama dunia nzima kufanya maandamano pale ambapo kukiwa na mambo ambayo hawaridhiki nayo. Kama wao wamesema kuhusu...
  16. Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

    Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
  17. Huu ni utaratibu wa Air Tanzania peke yake au ni dunia nzima?

    Ukichelewa au ukihairisha utatakiwa kuongeza pesa ya ziada kufidia ili uingie kwenye manifest ya ndege nyingine siku nyingine au saa nyingine kama kutakuwa na nafasi. Hii haina shida maana sio uzembe wao ni wa abiria. Ila sasa wao nao wanapohairisha safari au kusogeza mbele muda kwa sababu...
  18. Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

    Ameandika Khamis Kagasheki "Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”...
  19. Sio T.R.A tu, mamlaka za kodi dunia nzima zinaogopeka na hazina "urafiki" na walipa Kodi, moja kati ya hizo ni "TRA" ya Marekani, inaogopwa mno!

    Mamlaka za kodi ni "polisi wa mapato" inachukua halali ya serikali, na kawaida, ni jbo gumu kwenda kuchukua kwa mtu fedha yake, lazima alalamike. Watanzania hatujiulizi kwa nini makusanyo Sasa ni trilioni mbili? Wakati mwanzo ilikuwa trilioni moja na bilioni 200? Nani hawa walikuwa wanakwepa...
  20. Dunia nzima inaangalia masuala ya Kimila yanayofanyika UK

    Ingekuwa hapa wajuwaji wengi wangesema mambo haya yamepitwa na wakati
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…