Nchi nyingi za Dunia ya Tatu, hasa barani Afrika, zimekuwa zikidai kuwa zinatumia mfumo wa kidemokrasia, lakini kiuhalisia demokrasia yao ni ya kivuli tu. Wananchi wanaambiwa kuwa wana uhuru wa kuchagua viongozi wao, lakini chaguzi nyingi huchezewa, taasisi za kidemokrasia huwekwa mfukoni mwa...