duterte

  1. Sun Zu

    Rais Duterte wa Ufilipino Akamatwa, kupelekwa ICC

    Ofisi ya Rais wa Ufilipino imeripoti kukamatwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Rodrigo Duterte, baada ya kupokea ombi kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Duterte alikamatwa Jumanne katika Uwanja wa Ndege wa Manila alipowasili kutoka Hong Kong, kwa mujibu wa serikali ya...
  2. Huihui2

    Rodrigo Duterte Rais wa Zamani wa Ufilipino ahojiwa na ICC Juu ya Kuamrisha Mauaji Dhidi ya Watuhumiwa wa Madawa ya kulevya

    MANILA, Ufilipino (AP) — Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte aliambia uchunguzi wa Seneti Jumatatu kwamba alikuwa na "kikosi cha kifo" cha majambazi ili kuua wahalifu wengine alipokuwa meya wa jiji la kusini mwa Ufilipino. Hata hivyo, Duterte alikanusha kuidhinisha polisi kuwapiga...
  3. S

    Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

    Rais mtata wa Ufilipino (The Philippines), Rodrigo Duterte, jana amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuwa nyutro (haitochukua upande wowote) ktk vita vya Russia nchini Ukraine. "Nchi nyinginezo pamoja na Ulaya zitaangamia kama Russia ikiamua kufanya mashambulizi ya maangamizi. Hivyo, ni bora...
  4. Cannabis

    #COVID19 Rais Duterte wa Ufilipino asema raia wote wasiochanjwa dhidi ya COVID-19 hawataruhusiwa kutoka majumbani mwao, yupo tayari wafe

    Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte anaonya kuwa Wafilipino ambao wanakataa kupata chanjo dhidi ya coronavirus hawataruhusiwa kuondoka nyumbani kwao kama kinga dhidi ya aina ya kirusi cha delta kinachoenea zaidi. Duterte alisema kwa njia ya televisheni Jumatano usiku kwamba hakuna sheria...
  5. Webabu

    #COVID19 Rais Duterte wa Ufilipino ajuta kuchanjwa Covid 19

    Raisi matata wa Philippines ,Rodrigo Duterte amesema amejuta kuchanjwa kwa chanjo ya kichina iitwayo Sinopharm huku akihofia afya yake. Wakati huo huo raisi Duterte ameutaka ubalozi wa China nchini humo kwenda kuchukua chanjo zao 1000 za Sinopharm walizozitoa kama msaada kwa Phillipines. Raia...
  6. MakinikiA

    Rodrigo Duterte: Sitanii - osheni barakoa kwa petroli

    Bwana Duterte akihutubia taifa wiki iliyopita kabla ya kutoa matamshi yake tatanishi Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema kwa mara nyingine tena kuwa watu watumie petroli kuosha barakoa - na kusisitiza kwamba hafanyi mzaha. Alisema maneno kama hayo wiki iliyopita lakini maafisa...
  7. FRANC THE GREAT

    Ufilipino: Vita ya Rais Rodrigo Duterte dhidi ya dawa za kulevya "imeshindwa vibaya"

    Makamu wa rais wa Ufilipino ameitaja vita ya Rais wa taifa hilo, Rodrigo Duterte, dhidi ya dawa za kulevya kuwa imeshindwa. Leni Robredo alisema ni asilimia 1 tu ya makadirio ya dawa za kusisimua zilizosambaa nchini humo aina ya 'Methamphetamine' almaarufu nchini Ufilipino kama "Shabu"...
Back
Top Bottom