Hello Dears,
▫️New Stock ya Saa za Mike
▫️Hizi za mikanda ya ngozi ni Unisex mwanaume au mwanamke anaweza vaaa, hizi za chuma ziko in couple kubwa ya kiume ndogo ya kike, tho its Oky Mwanamke akivaa kubwa kulingana na choice yake.
▫️Material ni Uhakika Kwa hizo zote mikanda ni Genuine Leather...