Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, amewaasa wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kuacha kuzoea shida za wananchi, na badala yake kuzitafutia ufumbuzi ili wananchi wapate huduma ya Majisafi ya uhakika.
Waziri Aweso amewaasa wafanyakazi hao wakati wa Mkutano...
Eneo la Iyumbu NHC Dodoma limekuwa na tatizo sugu la maji kwa zaidi ya mwaka sasa, mwanzo sababu mbalimbali zilikuwa zikitolewa ikiwamo kutumia kisima kimoja cha maji na chuo cha UDOM hivyo kutokidhi mahitaji, lakini pia udogo na wakati mwingine kuharibika kwa pampu za kusukuma maji hivyo kaya...
WAZIRI AWESO ATOA MAAGIZO DUWASA
Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Kisasa Jijini Dodoma, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kutekeleza maagizo yake aliyoyatoa Septemba...
MREJESHO KWA WADAU: DUWASA YATATUA KERO YA MAJITAKA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inapenda kutoa mrejesho kwa wadau na wateja wake kuwa changamoto ya iliyokuwepo ya kusambaa kwa majitaka kulikosababishwa na chemba kuziba imetatuliwa mapema mara baada ya kupokea...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiambatana na Menejimenti ya Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa amefika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kuwasilisha taarifa ya Hali ya huduma ya Maji katika Majiji nchini ambayo ni DAR ES SALAAM (DAWASA), MWANZA (MWAUWASA), TANGA (TANGAUWASA)...
AWESO AIPANGUA DAWASA, AIWEKA CHINI YA UANGALIZI MAALUM
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiula Kingu akae pembeni kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban...
Wadau kuna tatizo kubwa la maji Ilazo Extension Dodoma. Inaelekea DUWASA wameshindwa kabisa kutoa huduma ya maji safi. Kwa mwezi mzima maji hayajatoka hata kidogo. Tunaiomba serikali kuhakikisha maji yanapatikana.
Huu ni mfano wa bili iliyokuja kwa mwezi mzima. Tumepata unit mbili pekee za...
Salam wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba msaada jinsi ya kusoma hizi Mita maana muda mwingine nahisi wananibambika bili.
Matumizi ya kawaida tu ya maji na hapo ni familia ya watu wanne tu lakini jana wamenitumia bili elfu thelathini.
Ningesema pengine labda kwakuwa nilipanda...
Mamlaka ya Maji ya Dodoma (DUWASA)
Kuna maeneo yapo mjini Dodoma hususani maeneo ninayoishi (MKONZE) mwanzo tulikuwa tukipata maji ila toka mwaka huu umeanza maji hayafiki kabisa kisingizio kuwa pressure ya maji ni ndogo tumejaribu kufuatilia kwenye mamlaka husika wakafanikiwa kuchimba kisima...
Jamani nawaomba wahusika DUWASA mtoke hadharani mtuombe radhi, sheria inasema mtu akilipia huduma ya maji ndani ya siku 21 apate huduma.
Sasa mimi naenda mwezi wa pili sasa bila huduma sasa huu si usumbufu kwa wateja!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.