Habari zenu Wana JF,
Nimeishi hapa Dodoma, ingawa sio mzaliwa wa hapa nilikuwa kikazi toka mwaka 1998 hadi Sasa. Nimekuwa nikilinganisha maisha ya mikoa mwingine kama vile Mbeya, Kilimanjaro nk.
Hapa Dodoma maisha yako juu sana, ukichanganya na maji yako gharama ya juu. Bill za maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.