Straight to the point, mfumo wa taarifa za marejesho (e-filing System) unarudisha nyuma kasi ya maendeleo ya uchumi na kuikosesha serekali mapato kwa wakati.
Mfumo huo umezidiwa nguvu na umekua kero kubwa inayorudisha nyuma maendeleo ya uchumi wa biashara hasa kwa wafanyabiashara wadogo...