Habari Wakuu
Nimekosea kuagiza MAF sensor ya gari, badala ya kuagiza ya BMW E90, nimeagiza ya BMW E46/E81/E87.
Aina ni
Bosch
0280218075
AIR MASS SENSOR-3(E46)1(E81/E87
Bei ni laki 3 ingawa nimelipia $117 halafu jumuisha ushuru kutoka Dubai kupitia Aramex.
Kwa anayehitaji, wasiliana...