eala

Eala is a genus of moths in the subfamily Lymantriinae. The genus was erected by Cyril Leslie Collenette in 1937.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesitisha Shughuli zake kwa Ukosefu wa fedha

    10 February 2025 Arusha, Tanzania EALA yasitisha shughuli kwa sababu ya shida ya pesa Na Wycliffe Nyamasege Tarehe 9 Februari 2025 saa 03:31 Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limesitisha shughuli zake kwa nusu ya kwanza ya 2025 kutokana na tatizo kubwa la fedha. Uamuzi huo uliofikiwa wakati...
  2. Msamiati wa dodo kwenye uchaguzi wa "EALA" na Mtazamo wa vijana katika siasa

    Kwa aliye fuatilia kampeni za kuziba pengo liloachwa na Dk Shogo Mlozi aliyekuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki R.I.P.kwake Kuna kabinti kamejitokeza kwanza nampa hongera kwa ujasiri na uthubutu wa kuamua kugombea lakini kuna kitu. Amenishangaza katika kujinadi kwake Kwanza kasema yeye...
  3. Chikulupi Kasaka Achukua Fomu ya Kugomea Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Chikulupi Njelu Kasaka ambaye ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) tarehe 14.08.2024. Chikulupi Njelu Kasaka amechukua fomu katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa...
  4. Bunge la Afrika Mashariki lakataa kutumia Kiswahili kwenye mijadala yake

    Licha ya Umoja wa Mataifa UN kukitambua Kiswahili kama Lugha rasmi ,inashangaza EAC ambako ndio nyumbani Kwa Kiswahili kupuuzwa My Take: Hivi Kiswahili Bado kinafaa kufundishia Watoto Wetu ikiwa Bunge la Afrika Mashariki halikotaki? ========== Arusha. Kiswahili, recently made an official...
  5. Mhe. Dkt. Shogo Mlozi Ashiriki Semina ya EALA Women Caucus Bujumbura

    Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Member of Parliament - EALA ) Mhe. Dkt. Shogo Mlozi Sedoyeka, PhD anashiriki semina ya EALA Women Caucus juu ya Kuendeleza Utawala unaozingatia Jinsia 31.3.2023 nchini Burundi, Bujumbura. Semina ni kwa ajili ya kujenga uwezo kwa wabunge wanawake ili kutetea...
  6. Burundi yashinda kiti cha Spika wa EALA baada ya Sudan Kusini kujiondoa

    Joseph Ntakirutimana, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Tawala nchini Burundi, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Ameshinda baada ya wanachama 54 kati ya 63 kumpigia kura, huku mmoja akimkataa na Kura nane ziliharibika. Ili mtu ashinde nafasi ya Spika wa EALA, lazima apate...
  7. EALA wapitisha muswada wa Kamisheni Huduma za Fedha

    BUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limepitisha muswada wa Kamisheni ya Huduma za Fedha ya Afrika Mashariki (EAC). Muswada huo wa mwaka 2022 unalenga kuanzishwa kwa kamisheni kama taasisi huru yenye majukumu, mamlaka, vyanzo vya fedha na makao yake makuu. Kupitishwa kwa muswada huo...
  8. Lijue Bunge la Afrika Mashariki na Jee Uchaguzi wa Wabunge wa CCM EALA Ulikuwa ni Uchaguzi Kweli Au Kiini Macho cha Uchaguzi?

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo ni makala elimishi kuhusu kulijua Bunge la Afrika Mashariki, EALA na kiini macho cha uchaguzi wa Wabunge wa EALA wa Tanzania uliofanywa na Bunge letu...
  9. Hawa hapa Wabunge wapya watakaoiwakilisha Tanzania EALA

    Ndg. Angela Charles Kizigha Ndg. Nadra Juma Mohamed Dkt. Shogo Richard Mlozi Dkt. Abdullah Hasnu Makame Ndg. Machano Ali Machano Ndg. Mashaka Halfan Ngole Ndg. Ansar Abubakar Kachwamba Ndg. James Kinyasi Millya Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe
  10. Ninachokiona kwa Wanaowania Ubunge wa EALA sasa ni ushindani na madoido ya kuongea Kiingereza tu, vichwani hakuna kitu

    Naomba miaka ya baadae (mbeleni) huko nje ya kuwataka Wagombea wawe na Elimu Kubwa ila pia wawe Wanapimwa kama ni Werevu Kiuhalisia kwani kuna tofauti Kubwa mno kati ya kuwa Msomi (Intellectual) na kuwa Mwerevu (Intelligent) lakini bahati mbaya kwa Tanzania yetu Msomi anajumlishwa kuwa nae ni...
  11. Watoto wa vigogo CCM wapenya ubunge EALA

    Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala). CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha Wananchi (CUF) kuhitimisha michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa nafasi hizo. Katika Bunge la Eala...
  12. Watoto wa vigogo CCM wapenya ubunge EALA

    Dodoma. Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala). CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha Wananchi (CUF) kuhitimisha michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa nafasi hizo. Katika Bunge la...
  13. WanaCCM 8 waliopitishwa kugombea Ubunge wa EALA

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimewapitisha wanachama nane kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA) utakaofanyika Septemba 22, mwaka huu. Akitangaza majina ya makada wa CCM waliopitishwa na Kamati ya Wabunge wa CCM leo, Msimamizi wa Uchaguzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…