earphone

  1. Mbahili

    Tueleze ulivotapeliwa na wengine wajifunze. Mimi niliibiwa simu huku earphones ziko masikioni

    Mimi kipindi mdogo bado kula kulala maskani mwaka 2007,nilikuwa naendesha baiskeli napiga misele mtaani.akatokea jamaa mmoja akajifanya ananijua eti ni baba yangu.aliniwamba makofi ya kutosha,huku ananiambia(kwanini umeondoka na baiskeli muda mrefu mi nakutafuta tangu asubuhi, unanisumbua nataka...
  2. realMamy

    Unayafahamu madhara kiafya ya kuazimana earphone?

    Kama kawaida yetu sisi wa Tanzania tunapendana na Kujaliana hivyo mtu anapoazima kitu tunampatia anatumia na kisha anarudisha na wewe unaendelea kutumia. Wengi huazimana Earphone kazini, kwenye michezo na sehemu nyingine kama hizo. Wengine huazimana Nguo, Viatu, hereni, Na kadhalika...
  3. Nyamwage

    Earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 mwisho isizidi hapo

    Habari Earphone za buku mbili mbili na za buku jero zimenichosha sababu hazina maisha marefu wiki mbili tu zinaanza wenge sasa nataka niji upgrade nipeni jina la earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 inayo chana mawimbi ya music vizuri +strong base maana kifaa changu kina feature ya DTS sound...
  4. A

    INAUZWA Original earphone za iphone zinauzwa

    used from japan 100% origanal deep base and best high quality dont pay before test warranty 1 year retail price 33,000 from 3 peace 27,000 wholesale delivery is free across town area call 0652472486
  5. K

    Wireless (Bluetooth) Earbuds Earphone

    Wireless Earbuds -Touch sensor -Waterproof Price: 20,000/= Contact: 0713722679 au 0753411316 Delivery: Free around Dar es salaam City Centre
Back
Top Bottom