earphones

  1. Pantomath

    Kwenye TYPE-C earphones Samsung & AKG wametupiga

    Mimi sio mpenzi kabisa wa wireless earphones, Nikanunua original Samsung Type-C earphones 30k powered by AKG kuja kutumia kasauti nilikokutana nako na niliyozoea nikahisi au nimeziharibu? ni fake? sikuwaza sana ila nikaona isiwe tabu, nika order nyingine MADE IN VIETNAM. Kuja khaaa, ni yale...
  2. Lububi

    Wireless earphones zenye bass: anayejua zilipo dar.

    Jf tech huwa napata suluhisho. Watu wanajua. Kwa dar naomba kujua napata wap wireless earphones zenye bass na mchujo mzuri kama au zaidi ya wired earphones. Najua maduka yamejaa hizo lakin tatizo ni bass kuipata vyema. pia napenda brands kubwa kama sony, bose, beats etc. Muundo huo
  3. adriz

    Wabongo wanakera sana tabia ya kusikiliza mpira redioni kibanda umiza wakati mechi inaendelea

    Moja kwa moja. Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea. Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
  4. BENEDICT ISEME

    Wireless Earbuds

    Wireless Earbuds -Touch sensor -Waterproof...
Back
Top Bottom