Nilikuwa sijawahi kufanya manunuzi ya kitu mtandaoni, kwa mara ya kwanza tarehe 5/08/2024 nilifanya manunuzi ya miwani ya macho katika mtandao wa eBay, hii ni baada ya miwani yangu kupasuka.
Niliingia katika mtandao wa eBay, nikasearch aina ya miwani ninayoitaka, nilishangaa sana bei...