Iran yabadili gia angani sababu kifo cha Rais wao Kwa ajali ya helicopter
Sasa Serikali ya Iran yaituhumu Israel kuhusika na kifo hicho
Yasema ilihusika kwenye ununuzi wa vifaa vya mawasiliano pagers ambayo vilitumiwa na magaidi ya Hezbollah
Yasema kuwa hata chopa iliyoanguka ikimbeba Rais...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.
Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
adui
ajali ya helikopta
ebrahimraisiebrahimraisiafarikiebrahimraisi ajali
helikopta
iran
israel
jana
kila mara
kufanikisha
mara
matengenezo
miaka
miaka 30
nayo
waisraeli