echumaarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ijali afya yako ya akili kama unavyojali afya yako ya mwili

    Afya ya akili haipimwi kwa vile tunavyofanya peke yake, ila ni pamoja na vile tunavyokataa kufanya moja ya nguvu kubwa ya kuwa na afya bora ya akili ni uwezo wa kusema hapana, kama kwako neno hapana ni gumu kulitoa hata kama unaona haiko sawa tambua ubora wa afya yako ya akili una shida kuna...
  2. Ubora wa afya yako ya akili

    UBORA WA AFYA AKO YA AKILI. Ipo haja kubwa ya kutoa elimu zaidi kuhusu maana ya afya ya akili na jinsi ya kujitambua iwapo uko na changamoto hii, watu wengi wanahesabu afya ya akili ni ukichaa ambapo imani hii inawafanya hata wanapokuwa hawako sawa wanaona ni kawaida. Lakini kwa uhalisia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…