eclipse

  1. Mpigania uhuru wa pili

    Mwaka 2005 nilishuhudia kupatwa kwa jua (solar eclipse)

    Mwaka huu kutatokea tukio la kupatwa kwa jua ila kwa huku Tanzania hatutaliona vizur kama watu wa Mexico na Marekani Ila imekunimbusha tukio kama hili nililishuhudia na nikiwa na utimamu wa akili kuanzia mida ya saa saba mpaka saa tisa kulikua na kivuli flani hivi japokua jua lilikua linawaka...
  2. Mwl.RCT

    Live Lunar Eclipse 3/26/2024

    Penumbral Eclipse: Where Science Meets Celestial Wonder The Whispered Warning In ancient times, a darkening Moon signaled disruption, a celestial battle...or worse. While science has replaced superstition, there's still a thrill when the Earth's shadow paints the lunar face. On March 26, 2024...
  3. snochet

    Nani kashuhudia eclipse ya leo asubuhi?

    Habari, Leo asubuhi kulikuwa na utando mwekundu angani--Kuna mtu mwingine ameshuhudia hili jambo leo? TMA-au mwenye ujuzi inamaanisha nini? Na kwanini itokee asubuhi?
  4. njiwaji

    Mwezi kupatwa mfifio kesho usiku Ijumaa Juni 05, 2020 - penumbral lunar eclipse

    Kesho Ijumaa usiku Mwezi utapatwa kififio siku ya tarehe 6 Juni sawa na ile iliyotokea mwanzoni wa mwaka huu Januari 10. Kiasi cha kufifia kwa mwanga wa Mwezi hakutakuwa kubwa safari hii kwa hiyo ifikapo saa 4:25 usiku Ijumaa hii, kama anga itwakuwa wazi bila mawingu tutaona tofauti kati ya...
Back
Top Bottom