Kipindi nilikua napata mda wa kuwa free nilikua nafanya project ya kutengeneza ecommerce application, mpaka sasa naona imekamilika baada test za hapa na pale
https://voxmart.co.tz/
Je wewe unatamani kumiliki duka la Mtandaoni?Je tayari unayo fremu ya duka?Je Tayari unazo kurasa za mitandao ya kijamii?Kama Jibu ni Ndio basi huu ni wakati wako.
Mnada maalum wa tovuti za E commerce kwa vigezo na mashari yafuatayo:
Uwe unauza bidhaa za aina moja mfano kama ni nguo ni nguo...
Job Overview
Head, Digital & eCommerce
Dar es Salaam
Stanbic Bank Tanzania
Stanbic Bank Tanzania is a full-service commercial bank that specializes in providing facilities and services to public and private sector corporations.
Job Overview
Business Segment: Consumer & High Net Worth Clients...
Habari;
Je una ndoto ya kumiliki DUKA la mtandaoni.Kama jibu ni Ndio basi Unaweza kutimiza ndoto yako kwa mtaji mdogo tu.
Tunatoa huduma ya kutengeneza maduka ya mtandaoni kwa gharama nafuu.
Yapo maduka ya 900,000shs,1,200,000shs 1,500,000shs,1,750,000shs na kuendelea.Haya ni maduka ambayo...
Habari wana-bodi, kwa Majina naitwa Lwifunyo Mangula, ni mmoja wa watu wanaopenda technolojia ikiwamo IT ninaifurahia na nina kautaalamu kidogo kuhusu online business maana ninapenda hivyo vitu. So hapa nipo kutoa ushauri kwa wadau wengine kuhusu MPESA MASTERCARD TANZANIA kulingana na UZOEFU...
Nimekuwa nikiangaika huku na huku nikitafuta platform ya kuweza kuuza bidhaa(products). Hangaika hangaika yangu nimefika mpaka Shopify huko kwa mabeberu na nikagundua bidhaa ninayotaka kuuza ni local not International ijapokuwa gharama sio shida sana. Nimeona nikiingia huko ni kama kumpigia...
Kutokana na punguzo la Black Friday nilikua napita online niagize saa. Nimetembelea baadhi wa tovuti maarufu hapa Africa mojawapo ni hii Kikuu.
Tokea nimejua online market mpaka jana, ungeniuliza Kikuu ni ya wapi ningejibu ni ya hapa Africa.
Leo nimesoma 'about us' ya Kikuu imenisikitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.