Kama PM ameenda kuongea na nyie wafanyabiashara na mkaahidi kufungua maduka, Leo mnakusanyanya makundi kwa makundi kuhamasisha wapenda aman wasifungue maduka na atakayefungua atakiona cha moto, ni sawa na uhujumu uchumi.
Serikali ichukue hatua, hawa watu wakat wa Magufuli walinywea iweje ss hv...