Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezungumzia kukamatwa kwa watuhumiwa mbalimbali wa sakata la utekaji ambalo limekuwa likizungumziwa na vyombo mbalimbali vya habari katika siku za hivi karibuni huku likiacha taharuki kwa wananchi huku pia suala la kuteswa likitajwa...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na kuhakikisha unafanyika uchunguzi wa tukio lililomtokea Kijana huyo ambaye hivi karibuni alikiri kuwa...
Kama ilivyokuwa kwa Lissu, Sativa kupitia mtandao wa X amekuwa mkosoaji mkubwa wa watawala.
Mashetani, kama ilivyokuwa kwa Lisu, wakaona kumwua Sativa ndiyo suluhisho la wao kutokuendelea kukosolewa wanapofanya uovo wao.
Kama ilivyokuwa kwa Lissu, Mungu kwa namna ya ajabu akamweka hai mpaka...
KUTEKWA, KUPOTEA, KUTESWA, KUPATIKANA KWA SATIVA
Edga Mwakabela (Sativa225)
Maelezo yote yametoka katika kinywa cha Edgar Edson Mwakabela (Sativa255) ambaye alitekwa jumapili 23.06.2024 Darces Salaam na kupatikana 27.06.2024 Katavi.
Shughuli inaanza siku ya Jumapili, 23.06.2024, maeneo ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa CHADEMA Kanda na Mkoa ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mh. Masanja huko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya afya ya Mwakalebela au Sativa ambaye yuko ICU.
Matata ametoa Taarifa ukurasani X
=====...
Wakuu salam,
Naamini wote mpaka sasa tufahamu kuhusu suala la Sativa kutekwa mpaka kupatikana jana akiwa ameteswa sana, pamoja na maelezo yake ya awali kwa polisi.
Edga Mwakabela (Sativa)
Tulitegemea kuwe na uwajibikaji kutoka kwenye vyombo vya usalama kwa Muliro, IGP na hata Waziri wa Mambo...
edgamwakabela
freedom of expression
igp camillus wambura
jeshi la polisi tanzania
kukosoa serikali
sativa apatikana katavi
simon sirro
uhuru wa kutoa maoni
watu wasiyojulikana
wizara mambo ya ndani
Si mara moja polisi kuhusishwa na matukio ya upotevu wa watu wanaowakamata pale wanapoondoka nao na kutoweka kwenye mazingira ya utata au kupotea moja kwa moja.
Kwa yaliyotokea kwa ndugu yatu Sativa (Edgar) ni muendelezo wa hatari iliyopo pindi ndugu zetu wanapokuwa katika mikono ya polisi...
Tanzania ipo katika giza nene la kiutawala. Tatizo kubwa ni Serikali na watawala.
Watanzania tunalalamikia katiba mbaya, lakini ukweli ulio wazi, hata hiyo katiba yenye kasoro nyingi, haifuatwi wala kuheshimiwa na watawala na vyombo vya dola.
Katiba na sheria zetu zinaeleza na kutoa muongozo...
Wakuu,
Naamini wote tumeshapata taarifa juu ya tukio la kijana Sativa kupatikana, ambapo alitekwa na watu wasiliojukana na kupatikana leo katika hifadhi ya Katavi.
Edga Sativa (Sativa)
Pia soma: Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na...
edgamwakabelaedgamwakabela apatikana
freedom of expression
kukosoa serikali
kushirikiana
sativa apatikana
sativa apatikana katavi
uhuru wa kutafuta taarifa
uhuru wa kutoa maoni
watekaji
watu wasiyojulikana
JamiiForums imemtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Kaster Ngonyani kuhusiana na tukio hilo ambapo amesema "Ndio ni kweli, taarifa za tukio hilo lipo na tayari tumeshaenda eneo la tukio na Mgonjwa sasa hivi yupo Hospitali ya Wilaya ya Mlele eneo...
edgamwakabelaedgar mwakabela apatikana
freedom of expression
kukosoa serikali
sativa apatikana
taarifa ya polisi
uhuru wa kutafuta taarifa
uhuru wa kutoa maoni
watu wasiyojulikana
Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Edga Mwakabela (Sativa)
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye...
edgamwakabelaedgamwakabela apatikana
freedom of expression
kukosoa serikali
sativa apatikana
sativa apatikana katavi
uhuru wa kutafuta taarifa
uhuru wa kutoa maoni
watu wasiyojulikana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.