Mwekezaji wa vitalu vya uwindaji wa kitalii Saleh Salimu Alamry amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi Arusha akikabiliwa na Mashtaka Sitini ya Uhujumu uchumi, kughushi, kutumia Nyaraka za uongo pamoja na kuongoza Genge la uhalifu.
Mshtakiwa Namba moja ni Salehe Salum...