Wakuu,
Nadhani wengi tumekutana na tulio lililotrend jana, video ya inayomuonesha 'Bonge' akipambana na watu waliokuja kumteka na kufanikiwa kuwazidi nguvu, wakimuachia zawadi ya pingu. Kama mpaka sasa hujakutana na tukio hilo basi pitia hapa.
Kutokana na taarifa ya polisi, Bonge ni...
1. Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
2. Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Hamad Masauni.
3. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Mongoso Wambura
4. Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahim Juma
5. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Nkunda
6...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekwepa kujibu swali kuhusu nani aliyehusika katika madai ya utekaji wa Edgar Mwakabela, maarufu Sativa.
Bomboka alikwepa swali hilo akiwa katika kipindi cha Medani za siasa cha runinga ya Star TV, huku akieleza kuwa wajibu wa Serikali ni kulinda raia...
Matukio yote ambayo Vijana wanatekwa hasa Wenye mlengo wa kukosoa serikali, UVCCM haijawahi kutoa tamko la kukemea hata kinafiki tu. Tukio la karibuni zaidi ni la kijana Edgar Mwakabela @SATIVA ambaye alitekwa Dar na kutupwa Katavi baada ya kupigwa risasi ya kichwa lakini Mungu mkubwa ikamvunja...
Habari ndugu zangu wote,
Nipo hapa kuwapa taarifa ya maendeleo ya matibabu ya Edgar Edson Mwakabela (@Sativa255) ambaye anapata matibabu The Aga Khan Hospital, Dar es Salaam.
Kutokana na vipimo vikubwa vya madaktari wabobezi wa The Aga Khan Hospital, Dar es Salaam, walitueleza ni muhimu...
KUTEKWA, KUPOTEA, KUTESWA, KUPATIKANA KWA SATIVA
Edga Mwakabela (Sativa225)
Maelezo yote yametoka katika kinywa cha Edgar Edson Mwakabela (Sativa255) ambaye alitekwa jumapili 23.06.2024 Darces Salaam na kupatikana 27.06.2024 Katavi.
Shughuli inaanza siku ya Jumapili, 23.06.2024, maeneo ya...
Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela
ACT Wazalendo tunalaani na kukemea vikali tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa vibaya kwa kijana Edgar Mwakabela, mtandaoni (X) anajulikana Sativa. Mwakabela amepatikana leo tarehe 27 Juni, 2024 huko Mkoani Katavi akiwa...
Kijana aliyetekwa katolewa oysterbay Dar es Salaam kapelekwa Arusha, swali ka kujiuliza Arusha kuna nini mpaka mtu atekwe kiharamia apelekwe huko?
Lakin jambo lingine la ajabu who is Sativa? Nina uhakika ukienda mtaani ukiuliza wananchi hakuna anayemjua hata mimi ndio nimemjua jana!
Kama...
Haki za kiraia na demokrasia ni misingi muhimu ya utawala bora. Vijana wanahitaji kuelewa haki zao na jinsi ya kuzitetea katika mazingira yoyote. Hii ni muhimu kwa sababu inawapa ujasiri wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii zao na kupinga ukandamizaji wowote. Mfano wa hivi karibuni...