edward moringe sokoine

Edward Moringe Sokoine (1 August 1938 – 12 April 1984) was a Tanzanian politician who served two terms as Prime Minister of Tanzania, from 13 February 1977 to 7 November 1980 and again from 24 February 1983 to 12 April 1984.

View More On Wikipedia.org
  1. robbyr

    Soikoine mbona yupo hai hata kwa vijana ambao hawakumkuta?

    Mimi nilimsoma Sokoine nikiwa darasa la nne 2005 kwenye jaridi ambalo lilisheni picha za uongozi, ajali na mazishi yake na naamini hapa wengi mtaniunga mkono kama mlilisoma. Hadithi zake nzuri kama mtoto ziliniathiri kwa njia chanya mpaka sasa natamani watoto wafundishwe viongozi hawa kwa...
  2. chiembe

    Kumbukizi: Sokoine ndiye alibomoa uchumi wa nchi, na utawala wa sheria. Sioni chochote cha kumsifu, urathi wake uandikwe upya

    Uwaziri Mkuu wa Sokoine ulikuwa wa hovyo kuliko mawaziri wakuu wote tangu nchi ipate uhuru mpaka sasa. Ni yeye, kama alivyosema Mzee Warioba, aliasisi sheria za hovyo kabisa, hovyo kabisa ambazo zilikiuka haki za binadamu. Utesaji mkubwa ulifanyika na yeye akiwa anangalia. Upande wa uchumi...
  3. J

    Prof Kabudi: Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika kuhusu kifo cha Sokoine kwamba Nyerere alihusika au alifaidika na kifo hicho

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi amesema baada ya Kifo Cha Sokoine Maneno mengi yalisemwa ikiwemo " aliuawa kwa njama" Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika Kifo Cha Sokoine Mwalimu Nyerere Alihusika au Alifaidika na Kifo hicho Mwandishi huyo alisema Nyerere alihofia Sokoine akiwa Rais...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia akizindua Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha Na Uongozi Wake) JNICC - Dar, 30/09/2024

    https://www.youtube.com/watch?v=s1K5o6UUZqU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha na Uongozi Wake) kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam, leo tarehe 30 Septemba, 2024. Rais wa Jamhuri ya...
  5. L

    Rais Samia Kuzindua Kitabu cha Maisha ya Edward Moringe Sokoine Jijini Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kumaliza ziara yake kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Nchi Nzima huko mkoani Ruvuma ,ziara ambayo leo ndio mwisho na ambayo ilikuwa ya mafanikio makubwa sana na ambayo...
Back
Top Bottom