Mimi nilimsoma Sokoine nikiwa darasa la nne 2005 kwenye jaridi ambalo lilisheni picha za uongozi, ajali na mazishi yake na naamini hapa wengi mtaniunga mkono kama mlilisoma.
Hadithi zake nzuri kama mtoto ziliniathiri kwa njia chanya mpaka sasa natamani watoto wafundishwe viongozi hawa kwa...