Wadau nawasabahi. Naomba tuambizane ukweli.
Toka vifo vya mwalimu Julius Nyerere na Edward Sokoine nchi yetu imekosa kabisa viongozi wenye uzalendo na nchi hii. Hayati Nyerere na sokoine hawakuruhusu raslimali za nchi zichezewe au ziuzwe
Hawakuruhusu fedha za umma ziibiwe na wajanja...