Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna hivi majuzi amejipata kwenye njia panda kuhusu uteuzi wa baadhi ya wanachama katika Baraza la Mawaziri la Rais William Ruto.
Ruto alipendekeza mwenyekiti wa kitaifa wa chama cha ODM, John Mbadi kuwa Waziri wa Hazina ya Kitaifa huku naibu viongozi wa chama...