efatha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MKATA KIU

    Askofu Mwingira avunja nyumba za wananchi Handeni. Mkuu wa wilaya aamuru Askofu akamatwe

    Watumishi wa Mungu wanagombania pesa na mali, mchungaji anagombania ardhi ya wananchi. Mwingira wa Efatha anatia aibu watumishi. Hapo unakuta kuna wamama wanaamini Mwingira ndio mlezi wao wa kiroho wa kuwafikisha mbinguni, huku mchungaji mwenyewe anavunja nyumba za wananchi ili apate ardhi.
Back
Top Bottom