Wakuu habari zenu naona ajira portal wametoa tangazo la udhamini wa masomo Egypt kwa kozi ya Udaktari (MD) ambapo mwisho wa maombi ni tarehe 5 August.
wenye Uzoefu naomba experience ya jinsi ya kuomba hizo sponsorship hili vijana waweze kunufaika.
Natanguliza shukran wakuu 🙏🙏