Siku ya tatu ya Mkutano wa Nchi za Afrika zinazotekeleza Mradi wa Kudhibiti Matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu (EHPMP) ambapo leo Tarehe 6 Novemba 2024 umelenga kujadili namna bora ya kudhibiti taka za kielektroniki ili kulinda Mazingira na kuongeza fursa za ajira kwa vijana...