eid al adha

  1. T

    Wananchi Morocco watakiwa kutokununua kondoo kwenye sikukuu ya Eid al- Adha kutokana na mfumuko wa bei

    Mfalme Mohammed VI siku ya Jumatano aliwahimiza Wamoroko kuacha kununua kondoo wa kuchinjwa wakati wa sikukuu ya mwaka huu kutokana na mfumuko wa bei wa kihistoria na mabadiliko ya tabianchi. Ukame wa miaka saba umepunguza idadi ya mifugo nchini humo, na kusababisha bei ya kondoo kupanda hadi...
  2. USSR

    Ufisadi: Tumechinja ng 'ombe zaidi ya 1500 asema Ridhiwani Kikwete

    Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi. Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja...
  3. Roca fella

    Eid Al Adha jamii forums

    As salaam alaikhum ndugu zangu Wana jamii forums Leo ni sikukuu Eid Al Adha tusherekee kwa pamoja tufurahie, tudumishe amani upendo na umoja katika Haki. Mola mtukufu awalinde na kuwabariki Sana Nasherekea sikukuu na uvutaji wa bangi tulivu.
  4. benzemah

    Rais Samia Atoa Ujumbe wa Eid Al Adh'haa, Awakumbuka Wenye Uhitaji

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za heri ya sikukuu ya Eid el Adh’haa kwa dua maalum akiwataka Watanzania kusherehekea kwa amani, umoja na upendo. Ametuma salamu hizo leo Alhamisi Juni 29, 2023 kupitia kurasa za mitandao yake ya kijamii huku akiwahimiza Waislamu kutumia siku...
  5. The Sheriff

    Kabul, Afghanistan: Roketi zatua karibu na Ikulu, Rais Ashraf Ghani aendelea na sala ya Eid bila kupagawa

    Tarehe 20 Julai, 2021, takribani roketi tatu zilitua karibu na ikulu ya rais wa Afghanistan huko Kabul wakati Rais Ashraf Ghani alipokuwa akisali sala ya Eid al-Adha. Ingawa hakukuwa na majeruhi waliotokana na kutua kwa roketi hizo, kilichonifanya kuwa interested na tukio hili ni pale Rais...
  6. K

    Sikukuu ya Eid imegeuka siku ya wenye madaraka kuwatesa wenzao bila hatia

    Ni aibu sana kusikia watu wanatuma salamu za eid wanajibiwa kwa matusi. Page za viongozi zimejaa matusi badala tutakiane baraka Kama Taifa. Siku ya ibada takatifu Kama Leo ili viongozi wa kitaifa wawe wanaozungumza na wananchi na waumini kuwaeleza mipango ya kesho, kinyume chake hata wao...
  7. Roving Journalist

    Dar: Polisi wataja namba za dharura kipindi cha Sikuu ya Eid Al Adha

    Dar es Salaam 19, Julai, 2021 JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM KUIMARISHA USALAMA SIKUKUU YA EID AL ADHA Jeshi la Polisi Kanda Maalum kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limejipanga kikamilifu kuimarisha usalama katika kipindi cha sikukuu ya Eid Al Adha...
Back
Top Bottom