Salaam wakuu.
Nimeshangaa leo kuna mtu amewasiliana na jamaa yake aliyeko Nigeria na kumwambia kuwa The Federal Government imetangaza rasmi kuwa leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr.
Tunajua kuwa kwa kawaida hapa nchini kuna watu huwa wanaswali Eid pindi tu mwezi utakapoandama popote pale...