Kanisa Katoliki jimbo la Ifakara limemsamehe Enock Masala mwenye umri wa miaka 19 aliyetaka kutoroka na Ekaristi Takatifu kanisani.
kijana huyu alikamatwa julai 28, 2024 wakati wa misa ya kwanza Walinzi wa Kanisa hilo walimkamata na alipohojiwa na kamati ya ulinzi ya kanisa hilo alikiri kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.